UPDATES
26 Jan 2025
#HABARI
Harakati za ELIMU na OFFISI za SERIKALI kusimama kwa muda wa siku mbili, Tarehe 27 na 28 mwezi January mwaka 2025.
25 Jan 2025
Mdau anadai mfumo wa kuomba mkopo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) unasumbua kwa zaidi ya wiki, anatoa wito kwa Mamlaka zishughulikie mapema kwa kuwa anaamini Taasisi kubwa kama hiyo haitakiwi kukosa wataalam wa kurekebisha hali inayojitokeza sasa kwa haraka
Pia, anashauri muda wa maombi kwa watakaodahiliwa Machi (March Intake) uongezwe kwa madai zimebaki siku chache kabla ya dirisha la maombi ya mkopo kufungwa (Februari 15, 2025) ili kutoa fursa kwa waombaji wote kukamilisha maombi yao bila shinikizo la muda...readmore